Nyumba hii ilijengwa mwaka 1866 wakati Sultani Sayyid Majid bin Said aliamua kuanzisha makao mapya barani baada ya kuchoka maisha ya kule Zanzibar akaita jumba jipya "Dar es Salaam" yaani "jumba la amani, utulivu". Jumba la Sultani lilijengwa pamoja na majengo mengine na Boma la Kale la leo lilikuwa nyumba ya kupokelea wageni wa Sultani.
Boma la Kale lina miaka mingapi?
Ground Truth Answers: 1866ilijengwa mwaka 1866
Prediction: